Katika safari yetu Kwenda Mbinguni Tusiishe siku zetu Usingizini. Ng'oani! Tujifungeni, Twende zetu juu! Kristo ndiye kiongozi; Tusihofu tu. Atwekwe badala yetu, Mwenyewe Bwana; Yesu kiongozi wetu Atapokea. Kisimani, maji tele, Maji mazima! Maji hayo, Ya milele Yana neema. Njiani miiba mingi, Yatuumiza; Hofu na hatari nyingi, Sana zakaza. Kweli, njia ya Mbinguni Ni ya mashaka; Tuwe na Yesu njiani, Mara hufika.قينالسام دا بۇل ومىردە Herre Ditt Navn ạ̉nt rjạỷy sydy ạ̉nt tḥṭm ạlqywd ạ̉tmmt wʿd ạlậb SPIRIT DIVINE ATTEND OUR PRAYERS Желая много, Отче мой Миний тусламж lmạ ạlʿdw ykdrk Я счастлив в Иисусе и громко пою
Song not available - connect to internet to try again?