Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang'ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara! Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Kama kiti chake vivyo Ni yake ahadi, Alivyowekewa navyo Kamwe havirudi. Bwana wangu, tena Mungu Ndilo lake jina! Hataacha roho yangu Wala kunikana. Atakiri langu jina, Mbele za Babaye, Anipe pahali tena Mbinguni nikae.ạlrb ạlạ̹lh This Is Amazing Grace jiāng lái yǒu yé xī de gēn Xudoga Yangi Qoʻshiq Ayting Дьявол побежден جاعىمدۇۇ INNKHAR RAK HUNG TUAH! Исми мюбарек 11 Дорожка 11 hl jlst fy hdwʾ
Song not available - connect to internet to try again?