Sioshwi dhambi zangu, Bila damu yake Yesu. Hapendezewi Mungu, Bila damu yake Yesu. Hakuna kabisa Dawa ya makosa Ya kututakasa, Ila damu yake Yesu. La kunisafi sina Ila damu yake Yesu. Wala udhuru tena, Ila damu yake Yesu. Sipati pataniswa, Bila damu yake Yesu. Hukumu yanitisha, Bila damu yake Yesu. Sipati tumaini, Bila damu yake Yesu. Wema wala amani, Bila damu yake Yesu. Yashinda ulimwengu, Hiyo damu yake Yesu. Na kutufikisha juu, Hiyo damu yake Yesu. Twaimba: Utukufu Una damu yake Yesu. Milele twaisifu, Hiyo damu yake Yesu.rby ạ̹ny ạ̉ḥmdk AYIL EY İNSAN SƏN YUXUDAN جان۔دۇنيەم يەمدى ماداقتايدى قراءة 2 في حربي أنا جندي పరమాత్మ ప్రోక్షణం مايرامعا بارعىلا، الچاقىرات! Когато бях във плен Let God Arise Душа моя полна хвалой
Song not available - connect to internet to try again?