Tafuta daima utakatifu; Fanya urafiki na Wakristo tu; Nena siku zotena Bwana wako, Baraka uombe kwa kila jambo. Tafuta daima utakatifu; Uwe peke yako ukimwabudu; Ukimwangalia mwokozi wako, Utabadilishwa kama alivyo. Tafuta daima utakatifu; Kiongozi wako aew Yesu tu; Katika furaha au huzuni Dumu kumfuata Yesu Mwokozi. Tafuta daima utakatifu; Umtawaze Roho moyoni mwako; Akikuongoza katika haki, Hufanywa tayari kwa kazi yake.ạ̹lqạʾ 6 ทรงเป็นที่รัก Отыщи внутри себя любовь bdwn ḥbk Blackout Merveilleux amour В дыхании ветра Ecoutez, écoutez Hidup Yang Penuh Berbeban Господня Мишце, покажи
Song not available - connect to internet to try again?