Taji mvikeni, Taji nyingi tena, Kondoo mwake kitini, Bwana wa mabwana; Name tamsifu Alikufa kwangu, Ni mfalme mtukufu, Mkuu wa Mbingu. Taji mvikeni Mwana wa bikira; Anazovaa kichwani Aliteka nyara; Shiloh wa wanabii, Mchunga wa watu, Shina na tanzu vya Yese, Wa Bethirehemu. Taji mvikeni Bwana wa mapenzi; Jeraha zake ni shani Ni vito vya enzi, Mbinguni hakuna Hata malaika Awezaye kuziona Pasipo kushangaa.They that wait upon the Lord مَــا أَبْـهَـاكْ Yeni bir yer, Yeni bir gök اقترب Субботний день احفظ بلادنا يا رب عیسی و کودکان wʿdtk Ó, prenesmierne bohatstvo Дух плоды производящий
Song not available - connect to internet to try again?