Tazameni huyo ndiye, Mwenye kushinda vita; Haya, tumsujudie; Nyara anazileta; Watu wote msifuni, Sasa yumo kitini. Msifuni malaika, Mtukuzeni sana, Wote waliookoka Watamsifu Bwana; Watu wote msifuni, Sasa yumo kitini. Walimfanya dhihaka Zamani wenye shari, Kwao waliookoka Ni Bwana wa fahari; Watu wote msifuni. Sasa yumo Kitini. Nyimbo nzuri, sikizeni, Ni nyimbo za sifa kuu, Za Bwana Yesu kitini, Kutawazwa, yeye tu; Watu wote msifuni Sasa yumo Kitini.Ямар үг вэ سلامك فاق العقول - تيري Ben Burada Ancak Garip Yaşarım Ny Teny sy Fanahinao ạ̉nạ kẖạṭy gẖfr ly Hlásajte zvesť! 有一件事 ربي حبيبي وصى وصية Voglio a tutti raccontare 주는 거룩하다
Song not available - connect to internet to try again?