Tufani inapovuma Sana moyoni mwangu, Huona pa kujificha Mkononi mwa Mungu. Hunificha, hunificha Adui hatanipata, Hunificha, hunificha, Mkononi mwake. Pengine kuna taabu Yanisongeza kwake; Naijua si hasira, Ni ya mapenzi yake. Adui wakiniudhi Nami nikisumbuka, Mungu atavigeuza Vyote viwe baraka. Niishipo duniani Ni tufani daima, Anilindapo rohoni Nitakaa salama.في البدء 青春和昨天来不及回顾 Сендек Хечким Эмас Слушай Духа нежный зов Je nádherné být v chrámu Tvém Dańqtaımyn Seni, sheksiz súıip Сажда қиламан يشوع دخل الحرب Милосердие и величие Қарақалпақта
Song not available - connect to internet to try again?