Mbona washangaa njiani? Mbona warejea nyuma? Warudi tena gizani Alimokutoa Bwana? Ni ya bure yote haya, Uliyofunzwa ya Mungu? Ni bure amekufia Bwana Yesu kwa uchungu? Wamtia kristo aibu Na maneno yake pia? Siku yaja ya hesabu, Utamjibuje Bwana? Upandapo tena hayo, Halafu utayavuna. Rudi kwa Bwana upesi, Mwombe akupokee tena.yswʿ zy ạlskr Let us exalt His name ʿ ạlḥryẗ ᠡᠵᠡᠨ ᠳᠠᠬᠢᠨ ᠢᠷᠡᠬᠦ ᠮᠥᠴᠡ ᠬᠦᠷᠲᠡᠯᠡ Қорада жатыр бір нәресте Жизнь идет sẖkrạaⁿ llh nrfʿk fwq ạljmyʿ Рахмат сиңа Аллам Imn al vesniciei
Song not available - connect to internet to try again?