Twamsifu Mungu kwa Mwana wa Pendo, Aliyetufia na kupaa juu. Aleluya! Usifiwe; Aleluya! Amen. Aleluya! Usifiwe, utubariki. Twamsifu Mungu kwa Roho Mtukufu, Ametufunulia Mwokozi wetu. Twamsifu Mwana, aliyetufia, Aliyetwaa dhambi akazifuta. Twamsifu Mungu wa neema yote, Ametukomboa akatuongoza. Tuamshe tena, tujazena pendo, Na moyoni uwashe moto wa Roho.Qudaıym, men kúnákar paqyryńmyn نهاري معاك Biz Garibiz Bu Dünyada Гэмт байдлаас ลูกนั้นรักพระองค์ Lord I love You Ruhan Kambagʻal Boʻlganlar Baxtlidir Prečo ste smutný? Celý život chcem spievať Tebe, Pane ای ساکنان این جهان تأمل 4
Song not available - connect to internet to try again?