Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno Liwe mwanga kwa nchi zilizo giza. Bwana alisema nendeni po pote Kawafundisheni mataifa yote. Pelekeni Injili kwa jina la Yesu. Upesi! Twendeni haraka! Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno La upendo wa Mungu kwa watu wote; Aliyeupenda sana ulimwengu Akamtoa Yesu Mwana wake pekee Kaleta wokovu, tumtangazeni. Upesi! Twendeni haraka! Twendeni! Haraka! Tupeleke Neno La uzima kwa watu waliokufa. Mateka ya Shetani litafungua Litaponyesha na kuwapa amani. Twendeni upesi, tukawaokoe. Upesi! Twendeni haraka!За твоим столом dh kạn fy ywm ṣgẖyr Магтал yạ rb nrfʿ lk أنا في المسيح خليقة جديدة hl fyk yrwn yswʿ ییغناقدا Shalom 我有一个家 اسەم اۋەن
Song not available - connect to internet to try again?