Mpendao Bwana Ije raha yenu! Imbeni nyimbo za raha Wa ibada yenu. Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu. Wasiimbe wao wasioamini, Watoto wa Mungu ndio waimbao chini. Twaona rohoni Baraka za Mungu, Tusijafika Mbinguni Kwenye utukufu. Tutakapo mwona Masumbuko basi, Huwa maji ya uzima, Anasa halisi. Tupaaze sauti, Na fute machozi, Twenenda kwa Imanweli Naye ni Mwokozi.Zal Mangpha wʿd mny Dio lo sa జాగ్రత్త, భక్తులారా పిలుపిదే dāng zuò wán quán rén علمني أن أكون Ellerimi kaldırdım Виждаш ли Herr wir feiern deine Liebe O The Deep, Deep Love of Jesus
Song not available - connect to internet to try again?