Ujaribiwapo, sifanye dhambi, Bali uzishinde, kwa Yesu kutii. Fuliza kiume ushinde tamaa; Yesu ni Mwokozi, hukuokoa. Umwombapo yu papo Akuongeze nguvu, Atakusaidia; Yesu atakufaa. Wepushe waovu, matusi dharau; Heshima la Mungu, kamwe sisahau; Fanya uhodari, uwe mpole, Atakuokoa hata milele. Avumiliaye hupewa taji; Tujaposumbuka tu washindaji, Na mwokozi wetu hutuwezesha Tusiwe kushindwa kama twakesha.إنت مش للذكريات В зимнюю ночь все небо звездное Egemensin Alma deja tu temor Святий Бог дав Свого нам Сина Io canto le tue lodi İsa, İsa Yücesin Segala Puji Namanya Ырайымын төгүп, куткарды бизди rwḥ ạllh sẖdd qwạya
Song not available - connect to internet to try again?