Usinipite Mwokozi, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. Yesu,Yesu, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. Kiti chako cha rehema, Nakitazama; Magoti napiga pale, Nisamehewe. Sina ya kutegemea, Ila Wewe tu; Uso wako uwe kwangu; Nakuabudu. U Mfariji peke yako; Sina Mbinguni, Wala duniani pote, Bwana mwingine.Eu Te chem Doamne Tanrı'nın Seçtiklerini РӘББИМ ЕШИТ СӘСИМИ Chcę o Jezusie moim śpiewać Курман Jesus ons loof U PRAISE YE THE LORD! Xudo bu kunni yaratdi Я РАБ Сана Шюкретмек Je chanterai gloire
Song not available - connect to internet to try again?