Waimba, sikizeni, Malaika Mbinguni; Wimbo wa tamu sana Wa pendo zake Bwana, 'Duniani salama, Kwa wakosa rehema.' Sisi sote na twimbe Nao wale wajumbe; Waimba, sikizeni, Malaika mbinguni. Ndiye Bwana wa Mbingu, Tangu milele Mungu, Amezaliwa mwili, Mwana wa mwanamwali; Ametoka enzini Kuja ulimwenguni Mwokozi atufie, Ili tusipotee. Waimba, sikizeni, Malaika Mbinguni. Mtukufu wa amani Ametoka Mbinguni, Jua la haki, ndiye Atumulikiaye; Amejivua enzi, Alivyo na mapenzi, Ataka kutuponya, Kutuzalisha upya, Waimba sikizeni, Malaika Mbinguni. Njoo upesi, Bwana, Twakutamani sana; Kaa nasi, mwokozi Vita hatuviwezi; Vunja kichwa cha nyoka, Sura zako andika, Tufanane na wewe, Kwetu sifa upewe, Waimba, sikizeni, Malaika Mbinguni.Cand te afli-ngrijorat strigă către Domnul Раб'бин Чоджуу оларак Яшамак Pane, prúdom požehnania تعليق - غيرك إنت مين ạ̉frḥ fy kl ḥyn Когда душа изранена Mən Sənə Rəbb Allah dedim nʿẓmk nmjdk Аллилуйя, аллилуйя Иисус Христос, Спаситель Был рожден gè gè tā de lù shàng
Song not available - connect to internet to try again?