Waitwa, mwovu, na Bwana Umwendee hima sana, Usafiwe dhambi zako, Humwoni ni mwema kwako? Unaitwa! Itika tu! Umwendee Bwana Yesu! Sifiche makosa yako, Uungame dhambi zako! Kristo tu umuamini, Ndiye njia ya Mbinguni. Alilipa damu yake Ili kukukweza kwake; Alikufa yeye Bwana, Mimi nawe tuwe wema. Ukifanywa kuwa mwema Mwishoni utasimama, Utaingia rahani Na wapenzi wa zamani. Ni mwanga tu, nchi ile; Uovu hauko kule, Kwamba wataka ufike Sharti huku uosheke.Viens remplir ma vie Chisʋs holitopa yokʋt Isa júzim butaǵy 我要一天七次向主赞美 ใกล้จะสิ้นยุค Il tuo nome Gesù أنا مستنيك Jésus-Christ దేవుడే నా కాశ్రయంబు Таулу халкъым
Song not available - connect to internet to try again?