Waponyeni watu wamo kifoni, Watoeni walio shimoni; Na aangukaye mumzuie; Ya Bwana Yesu wahubirini. Walio kifoni waokoeni, Mwokozi yuko, wahubirini. Wajapokawia anangojea, Awasubiri waje tobani; Msiwadharau, muwaonyeni; Huwasamehe; wakiamini. Myoyoni mwa ndani, yule shetani Ameyaseta mawazo yao; Lakini kwa Bwana huwa mazima, Tukiwavuta kwa pole hao. Kawaokoeni, wale njiani, Mutimize mapenzi ya Bwana; Na kwa nguvu zake warudi kwake, Kwa subira waonyeni sana.Асмандики Ата John 17 ЬОнюнде Еилириз Keď Mária plačúcemu yé sū wǒ tài yáng Күнөөдөн баарын куткарып شوف بعينك Не в торжественном храме Ardımca gəl - dəniz çalxalananda Танръ Бизим Каямъздър
Song not available - connect to internet to try again?