Yesu atuchunga, Mchunga wetu, Naye atufuta Machozi yetu; Mkononi mwake Hatuna hofu, Daima twapata Kwake wokovu. Yesu atuchunga Tumemjua, Na sauti yake Twaitambua; Naye akituonya Ni kwa upole, Tu kondoo zake Hata milele. Yesu atuchunga; Aliwafia Kondoo wakubwa Na wana pia; Kwamba awajua, Kondoo zake, Hutiwa alama Ya damu yake. Yesu atuchunga; Mikono yake Imewaambata Kondoo zake; Hapati wadhuru Adui yule, Yesu awalinda.O How He Loves You and Me Alelu... Aleluya... Yo peregrino Олга учар Доглан Чага آه Как мало говорим о любви 我们是主的兵 为不朽之国 rby yswʿ ḥbyby رەببىم سېنى ياد ئەتكەي
Song not available - connect to internet to try again?