Yesu anawaita, Wakosa, wahalifu, Wambieni wa mbali Habari ya wokovu. Tangazeni kwa bidii, Hupokea wakosa!' Liwe neno dhahiri, Hupokea wakosa!' Anawaita Bwana Neno lake amini Watu kila aina Waje kwake tengoni. Mimi ni safi moyo Na mbele ya sharia, Aliye safi roho Kwake ilitimia. Apokea wakosa; Nami anikubali; Alivyonitakasa Mbinguni niwasili.إلقاء 2 Vyvýšený Endlessly Rád vágyik a szívem لو مشكلتك جمرة نار Rızamyn Marjan taqtıń نباركك يا مليك المجد Ja viem Еке Исада
Song not available - connect to internet to try again?