Yesu ndiye mganga wetu Aponya wagonjwa wote; Mganga wetu ni Yesu, Aponyaye hasira. Tumsifu huyo Yesu Tumsifu milele, Kwani Mponya mtakata Mwokozi wa wanyonge Mganga wetu ni Yesu Huondoa matusi; Mganga wetu ni Yesu, Mwenye kuponya choyo. Mganga wetu ni Yesu Huponya wivu wetu; Yesu ndiye aponyae Kelele za nyumbani. Mganga wetu ni Yesu Mponya wa tamaa mbaya; Mganga wetu ni Yesu Uasherati hufuta Mganga wetu ni Yesu Aponya kiu cha pombe, Mganga wetu ni Yesu Kila dhambi uponyaNearer, my God, to Thee/ Bethany Жүбилатэ Бен сана сусадъм! Maizina ny firenena dạyb qlby dạyb ṣgẖyr ạ̉w kbyr 01 Дорожка 1 Come to the Water O'nu İzleyeyim (Topluğa Uyarlanmış) ṣnạʿ ạlfrḥ
Song not available - connect to internet to try again?