Yesu nataka kutakaswa sana, Nataka moyo uwe enzi yako. Ukiangushe kilichoinuka Unioshe sasa niwe mweupe. Mweupe tu, ndiyo mweupe, Ukiniosha nitakuwa safi. Bwaba Yesu, unitazame sasa, Unifanye niwe dhabihu hai; Najitoa kwako, na moyo wote; Unioshe sasa niwe mweupe. Bwana kwa hiyo nakuomba sana, Nakungojea miguuni pako, Naomba unioshe damuni tu, Unioshe sasa niwe mweupe. Bwana nidumu kukungojea, Niumbie moyo safi, Ee Mungu, Wanaokujia hutupi kamwe, Unioshe sasa niwe mweupe.Jezus Chrystus jest Panem Оковы Снял с Моей Души Amico Голоса души звучите msẖ hthwn Эй, ки ту аз баҳри дуо омадаӣ أنكرته Сад Бушует житейское море Йюджелер Йюджеси Раб
Song not available - connect to internet to try again?