Chakutumaini sina Ila damu yake Bwana, Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha; Kwake Yesu nasimma, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama. Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu; Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga. Damu yake na sadaka Nategemea daima, Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha. Nikiitwa hukumuni, Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake.Holy water Худони Синама Вовеки Он превознесён HALLELUJAH! A DIH Бог возлюбил погибший мир هيا نرنم Peccatore perdonato tʿẓm ạlfrs wrạkbh 새벽 이슬 같은 Viens, ô créateur de nos âmes
Song not available - connect to internet to try again?