Chini ya msalaba Nataka simama; Ndio mwamba safarini, Wa kivuli chema; Ni kweli kwa roho yangu Ni tuo kamili, Tatua mzigo wangu Wakati wa hari. Hapa ni pema sana, Ni ngome kamili; Hapa yameonekana, Mapenzi ya kweli; Kama alivyoonyeshwa Yakobo zamani, Msalaba umekuwa Ngazi ya Mbinguni. Na Yesu msalabani Walimkemea, Alikufa niokoke Niliyepotea; Naona ajabu sana Ya mambo mawili Jinsi alivyonipenda, Nisiyestahili. Atakayeonana, Na Yesu Mbinguni, Njia yake aanzapo Ni msalabani; Wokovu upo hapa tu, Mwingine hapana, Kisha kuna furaha kuu Pamoja na Bwana.مشتاق إليك Let us with a gladsome mind/ Monkland اسمك ربي يسوع Жон-у дилим Hay perdón por la sangre ạ̉kẖṭyt wrạjʿ Iso Senga Kelaman ạ̉nạ mṭmn ạnạ mtạ̉kd Přes hory i přes oceán عارفين يارب
Song not available - connect to internet to try again?