Jina lake Yesu tamu; Tukilisikia Hutupoza, tena hamu Hutuondolea. Roho iliyoumia Kwalo hutibika, Chakula, njaani pia; Raha, tukichoka. Jina hili ni msingi, Ngao, ngome, mwamba, Kwa hili napata wingi, Kwangu ni akiba. Yesu, Mchunga, Rafiki Mwalimu, Kuhani, Mwanzo, Mwisho, Njia, Haki, Uzima kifoni. Moyo wangu hauwezi, Kukusifu sana, Ila sifa zangu hizi, Bwana zikubali. Na utakaponiita, Kuja kwako Bwana, Huko kwako sitaacha Kukusifu sana.Qué bueno es verte aquí! Kiedy w serce w grzech wplątane ربي بيحب الأطفال Si Boh milosrdný Смотрю на Тебя Велик, Велик Madad Коль счастье вам Бог подарил لما أغني Qudaıdyń Rýhy bizdi toltyrǵanda
Song not available - connect to internet to try again?