Juu yake langu shaka, Yesu namuwekea, Nami sitafedheheka Nikimtegemea. Natumai, natumai, Nnatumai kwake tu; Natumai, natumai, Natumai kwake tu. Juu yake, dhambi zangu; Aniosha kwa damu; Nionekane kwa Mungu, Nisiye na laumu. Juu yake yangu hofu; Kwake nimetulia; Sipotei kwa upofu Njia aning'azia. Juu yake raha yangu; Humuangalia tu; Mwenye kila ulimwengu, Aniruzuku na huu. Juu yake, moyo wangu; Hali yangu na mali; Mimi wake, Yeye wangu, Twapasana kamili.fy ywm sạ̉ry̱ ạ̹dy bsrʿẗ В седые древние столетья Tí, čo sú smädní تشق البحر Хвалім Цябе, Пане Haleluya Kalbime konuş İsa Shekinah من لي سواك
Song not available - connect to internet to try again?