Karibu na wewe, Mungu wangu Karibu zaidi, Bwana wangu Siku zote niwe Karibu na wewe, Karibu zaidi Mungu wangu. Mimi nasafiri Duniani, Pa kupumzika Sipaoni, Nilalapo niwe Karibu na wewe, Karibu zaidi Mungu wangu. Na kwa nguvu zangu Nikusifu; Mwamba, uwe maji Ya wokovu; Mashakani niwe Karibu na wewe; Karibu zaidi Mungu wangu. Na nyumbani mwa juu, Baba yangu, Zikikoma hapa Siku zangu, Kwa furaha niwe Pamoja na wewe, Karibu kabisa Mungu wangu.Scorre un fiume Å bli som Jesus Eý doga! Uwielbiam Cię bo jesteś godzien DOXOLOGY Святой Царь اذكرني في ملكوتك Din O Jesus, Din å være Қудратим Худо Děkuji
Song not available - connect to internet to try again?