Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa. Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia. Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi. Nina haja nawe; Kila hali, Maisha ni bure, Uli mbali. Nina haja nawe, Nifundishe Na ahadi zako Zifikishe. Nina haja nawe, Mweza yote, Ni wako kabisa Siku zote.Rab Beni Diriltecek brkạt ạlrb صنع الكل في وقته mạ ạ̉bhj Эмне септиң, эмне септиң ยกย่องพระเจ้าของเราขึ้น ความรักยิ่งใหญ่เรารับ nǐ dāng yù bèi yíng jiàn nǐ de shén يا أبانا لست أدري Kau Sukacita
Song not available - connect to internet to try again?