Kukawa na giza dunia yote, Ni Mwanga wa ulimwengu, Ikaisha ulipokuja yote, Ni mwanga wa ulimwengu. Jua, Yesu hana mwenziwe! Nalipofuka kama wewe: Nakuombea umwone nawe, Ni mwanga wa ulimwengu. Hatuna giza tudumuo mwake, Ni mwanga wa ulimwengu; Tumwandamiapo nyayoni mwake Ni mwanga wa ulimwengu. Enyi wa gizani wenye kutanga! Ni mwanga wa ulimwengu, Kaulekeeni, mpate lenga; Ni mwanga wa ulimwengu. Tutamwona Mwokozi juu ya mbingu Ni mwanga wa ulimwengu: Ni nuru za mbingu kondoo wa Mungu Ni mwanga wa ulimwengu.Wznoszę ręce me wzwyż Herra Sä taivaan Boży Baranku! Кунларнинг бирида Faithfulness Кристмас дуу Siion, nyt kahleet Preghiera Panie, pragne czynić Пришла весна
Song not available - connect to internet to try again?