Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa; Kukubali neno lake Nina raha moyoni. Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti; Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa, Kuamini damu yake Nimeoshwa kamili. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa, Kwake daima napata Uzima na amani. Nafurahi kwa sababu Nimekutegemea; Yesu,Mpendwa na Rafiki Uwe nami dawamu.Alla tua presenza كامل الجمال Her Zaman Dziś zaufaj Panu من يوم ما قابلت حبيبي يسوع إلقاء المحبة yạ ạsm ḥlw fy lsạny tgẖyrny̱ ạ̉nạ ! Баҳытлы өмир, бир Сенде екен Ыдыктыг ыры 1
Song not available - connect to internet to try again?