Liko lango moja wazi, Ni lango la mbinguni; Na wote waingiao Watapata nafasi. Lango ndiye Yesu Bwana Wote waingie kwake, Lango! Lango La Mbinguni li wazi. Yesu ndiye lango hili, Hata sasa li wazi, Kwa wakubwa na wadogo, Tajiri na maskini. Hili ni lango la raha, Ni lango la rehema; Kila mtu apitaye Hana majonzi tena. Tukipita lango hili Tutatua mizigo, Tuliochukua kwanza, Tutavikwa uzima. Hima ndugu tuingie Lango halijafungwa, Likifungwa mara moja Halitafunguliwa.Сонсузджа Миннеттаръм واثق Vive Mi Señor كم كان مراً Иса, сүйем Сені يـسوع أنت تعلم إن ربي بيحب الأطفال ạ̉ywẗ yạ syd Lascia che lui Без пятна и порока слышишь церковь Господь это слово сказал
Song not available - connect to internet to try again?