Msalabani pa mwokozi, Hapo niliomba upozi, Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Chini ya mti msumbufu, Niliomba utakatifu, Alinikomboa kwa damu, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Alinikomboa kwa damu, Mwana wa Mungu. Aliniokoa dhambini, Ikawa kunikaa ndani, Aliponifia mtini, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Aliponifia Mtini, Mwana wa Mungu. Damu ya Yesu ya thamani, Huniokoa makosani, Huniendesha wokovuni, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Huniendesha wokovuni, Mwana wa Mungu. Hicho kijito cha gharama, Leo jivike kwa kuzama, Kwake uuone uzima, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Kwake u uone uzima, Mwana wa Mungu.Sadık Tanrım احمدوا الرب لأنه صالح yskn ạlmjd ạ̉rḍnạ Voi canta Domnului din tot sufletul méi yǒu yī gè jì jié Благодать на благодать Tompo tia o, midina Madaqtaımyn Seni Күлімдеп күннің көзі مين أحن منك
Song not available - connect to internet to try again?