Mteteeni Yesu, Mlio askari; Inueni beramu, Mukae tayari, Kwenda nae vitani, Sisi hatuchoki Hata washindwe pia Yeye amiliki. Mteteeni Yesu, Vita ni vikali; Leo siku ya Bwana, Atashinda kweli, Waume twende naye, Adui ni wengi, Lakini kwake Bwana Tuna nguvu nyingi. Mteteeni Yesu, Wenye ushujaa; Nguvu zenu za mwili Hazitatufaa; Silaha ya injili Vaeni daima, Kesheni mkiomba, Sirudini nyuma. Mteteeni Yesu, Vita ni vikali, Wengi wamdharau, Hawamkubali, Ila atamiliki Tusitie shaka, Kuwa naye vitani Twashinda hakika.Grandes et merveilleuses Танръм Бюйюктюр Beribu Lidah Patutlah hllwyạ sbḥy yạ nfsy ạlrb Котва 好时光 Bůh je můj věčný Pán Stare con Te الروح و العروس หากจะรักจงรักอย่างสุดใจ
Song not available - connect to internet to try again?