Mungu ni pendo, apenda watu; Mungu ni pendo, anipenda Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo, anipenda. Nilipotea katika dhambi, Nikawa mtumwa wa shetani. Akaja Yesu kuniokoa, Yeye kanipa kuwa huru Sababu hii namtumikia, Namsifu yeye siku zote.Сижу один Bizlerdiń Quday حبك ساكن قلبي Очисти й освяти A Kuolna Gankuong Ráno, celý den Il mio canto nrfʿ ạsmk rbnạ Сэтгэлд минь орших Či Ježiš dbá
Song not available - connect to internet to try again?