Mwamba wenye imara Kwako nitajificha! Maji hayo na damu Yaliyotoka humu, Hunisafi na dhambi, Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia , Sitimizi sharia. Nijapofanya bidii, Nikilia nakudhii, Hayaishi makosa; Ndiwe wa kuokoa. Sina cha mkononi, Naja Msalabani; Nili tupu, nivike; Ni mnyonge, nishike; Nili mchafu naja, Nioshe nisijafa. Nikungojapo chini, Nakwenda kaburini; Nipaapo Mbinguni, Na kukwona enzini: Roho yangu na iwe Rahani mwako wewe.Plesej, dcéro sionská Noi credem în Isus جايين بنغني mhmạ kạn Isa Mesih Hudaýyň Sözi You're Gonna Be Ok إلهي ملكك أبدي Гузель Танърым يا من مسحت دموعي Satúrame señor con tu Espiritu
Song not available - connect to internet to try again?