Tangu siku hiyo aliponijia, Akae moyoni mwangu, Sina giza tena, ila mwanga pia Kwa Yesu mwokozi wangu. Amani moyoni mwangu, kwa Yesu, Mwokozi wangu; Sina shaka kamwe, Kwa sababu yeye, Yu nami moyoni mwangu. Sina haja tena, ya kutanga-tanga, Ndiye kiongozi wangu. Dhambi zangu zote zimeondolewa, Na Yesu, Mwanawe Mungu. Matumaini yangu ni ya hakika, Katika Mwokozi wangu. Hofu zangu na hamu zimeondoka, kwa kuwa ninaye Yesu. Siogopi tena, nikiitwa kufa, Yu nami daima, Yesu. Mlango wa Mbinguni ni yeye pia, 'Tapita humo kwa damu.' Nitaketi na yeye huko milele, Nisifu Mwokozi wangu. Nina raha moyoni majira yote, Kwa Yesu, Mwanawe Mungu.قۇدايىم ۔ قورعانىم، پانالار ورمانىم ạ̉tạryny ṣgẖyr Как же не любить Тебя, мой Мой Бог надежда моя Tu es Dieu Ноел Йълдъзъ Йине Парлъйор Welcomed in to the Courts of the King Бачу я Ісуса Оставить землю أنت يارب أعظم أله
Song not available - connect to internet to try again?