Neno lako, Bwana, Ni imara sana; Lilo latwongoza, Lilo latufunza. Adui wabaya Wakikaribia, Neno lake Bwana Ni ulinzi sana. Siku za dhoruba Soma ukiomba; Neno lake Bwana Msaada sana. Ukiliamini, Hwenda na amani; Una na furaha Neno ni siraha. Ni furaha kweli, Na wingi wa mali, Neno lake Bwana Kwa wasiokana Neno la rehema, Tukali wazima; Faraja I papo, Tufarikanapo.Сəнин əлиндəдир үрəјим мəним مين غيرك ạlʿmr ʿmr wạḥd В семью ӰНИМДИ СЕН УКСАҤ Gloire à l'Agneau Гар Исоро дӯст медорӣ Сильна! Глубока! Велика! Jontanimla Hudovandni ulugʻlayman Usko, rakkaus, toivo
Song not available - connect to internet to try again?