Ni mji mzuri, Mbali sana; Watu wanawiri Kama jua; Waimba kwa tamu, Tuna wema hakimu: Sifa na idumu, Kwake Bwana. Ni mji mzuri Twende sote! Una na fahari Msikawe! Raha tutaona, Dhambi hapana tena; Hatutaachana Siku zote. Ni mji mzuri; Macho yote Huko wanawiri Kama pete; Baba tutamwona, Tukifanywa tu wana; Tumo kupendana Naye sote. Ni mji mzuri; Tusipotee Na tuwe hodari, Tuupate! Tufunze, tutume Kwa taji na ufalme: Sifa na zivume Siku zote.Сенинг Номинг Ажойиб Zo, Mutane, Rera Waƙa lmạ dʿạny rby nsẖkr kl ḥyn Bring Them In ҜҮНАҺЫМЫ НӘ ЈУЈАР 我们会继续沿着这条路 Bože, od Teba všetko máme بۇكىل الەمنىڭ يەسى أيها العز
Song not available - connect to internet to try again?