Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua mwokozi wangu. Aleluya enzi ndako; Aleluya,Amin. Aleluya,enzi ndako; Rejea Yesu. Mwana wa Mungu Ndiye fungu langu, Na moyo hufurahi kwa Yesu wangu. Raha ya kweli Ina jina hili, Na aliyeshika,ana Mbingu kweli. Nimeingia Mapendano haya, Nimepata uzima na Mbingu pia. Nilipo chini, Ni mwako kazini Hata nije kwako uliko Mbinguni.Отец мой небесный меня бережёт Damu Imebubujika قاراڭعىعا تۉشكۅن جارىعىم سەنسىڭ Buď Pánu Bohu vďaka Wszystko Panie Ciebie chwali O Yaşayan Tanrı'dır إلقاء 5 Дар Ту мемонам Medley: Clap your hands, all ye people Sai Ku Tashi Dai Mutane Duk
Song not available - connect to internet to try again?