Ni wako wewe, nimekujua, Na umeniambia; Lakini Bwana, nataka kwako nizidi kusongea. Bwana vuta, vuta, nije nisongee, Sana, kwako mtini. Bwana vuta, vuta, nije nisongee, Kwa damu ya thamani. Niweke sasa nikatumike Kwa nguvu za neema; Uyapendayo nami nipende, Nizidi kukwandama. Nina furaha tele kila saa Nizungumzavyo kwako, Nikuombapo nami napata kujua nia yako. Mapenzi yako hayapimiki, Ila ng'ambo ya liko. Anasa pia sitazijua, Bila kufika kwako.ḥbyb ạlʿmr ạnt yạyswʿ jzʾ 13 La Tua gloria تراك 12 Ja viem, že zachránil ma Degno è l'agnel Adoro te Аз съм изцелен When You walk into the room Whenever God shines His light
Song not available - connect to internet to try again?