Niongoze, Bwana Mungu, Ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina: Nishike mkononi; U mkate wa Mbinguni, nilishe siku zote. Kijito cha maji mema, Kitokacho mwambani, Nguzo yako, moto, wingu, Yaongoza jangwani; Niokoe mwenye nguvu; Nguvu zangu na ngao. Nikikaribia kufa, Sichi neno lolote, Wewe kifo umeshinda Zinawe nguvu zote, Tutaimba sifa zako, Kwako juu milele.Łaską trzeba żyć لندخلن لمحضر الملك يالشوقي وحنيني Ты вознесён Insan, Tangisi Dosamu Per tutti i miei giorni Есть светлый город мир иной Più di te All Depends On Our Possessing ạ̉rḍy̱ bmrạ̉y̱ mḥyạ mftdy ạlbsẖr
Song not available - connect to internet to try again?