Sauti sikilizeni Za waimbao juu, 'Aleluya, Aleluya, Aleluya, mkuu!' Wako makundi-makundi Kama nyota wang'ara, Kwa makuti ya mitende, Na meupe wamevaa. Wazazi na manabii Wafanyaji wa njia; Mashahidi, waandishi, Nao wafalme pia! Mabikira kina-mama, Wajane wa kusali, Waimba wakikutana 'Msifunu Imanweli'. Watu toka huzunini Wameosha na nguo, Ni kwa damu yake Yesu; Maonjo, mbali nao! Walitekwa, walikatwa Hata kwa misumeno, Kwao kifo na shetani Walishindiwa mno. Mungu mumo mwake Mungu, Nuru mumu mwa nuru, Kwa kufungamana mwako Tutaishi mahuru; Tujalize, Imanweli, Kujaa kwako wewe Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho, tunawe.Вечерна молитва స్తోత్రము స్తుతి చెల్లింతుము భజియింతుము నిను జగదీశా O, przed wami stoi Pan mdywn bʿmry yạ jmyʿ ạlmtʿbyn Red Letters Поведи мене Ісус صلاة وسط عارى فى الشرور
Song not available - connect to internet to try again?