Si damu ya nyama Iliyomwagika Iwezayo kuondoa Dhambi za wakosa. Yeye Bwana Yesu Sadaka ya Mungu, Mwenye damu ya thamani, Ni mwokozi kweli. Kwa imani yangu, Namshika yeye, Naziweka dhambi zangu Juu ya kichwa chake. Mzigo wa dhambi Sichukui tena, Ameuchukua yeye, Juu ya msalaba. Bwana Yesu ndiye, Mwokozi wa kweli Tumsifu siku zote, Twapata uhuru.Свет в мире сем Nič nedaj na zvodný hlas pokušenia Alles vir my Yorulduğumda Rab İsam О, душа měi yī tiān wǒ dōu xū yào nǐ de Shattanaıyq barlyǵymyz حريتي صنع الرب وليمة Tu mi guiderai
Song not available - connect to internet to try again?