Twae wangu uzima, Sadaka ya daima; Twae saa na siku, Zikutukuze huku. Twae mikono nayo Ifanye upendavyo, Twae yangu miguu Kwa wongozi wako tu. Twae sauti yangu, Niimbe kwa Mungu tu; Itwae na midomo, Ijae neno lako. Twae dhanabu pia, Na yote ya dunia; Twae yangu hekima, Upendavyo tumia. Nia itwae, Mungu, Haitakuwa yangu; Twae moyo; ni wako, Uwe makazi yako. Twae mapenzi yangu, Sifa za moyo wangu; Twae kabisa nafsi Nniwe wako halisi.Ранами Его мы исцелились yạ nhr ạlnʿm ạlfyạḍ Abadiy kuylayman sevgingni Раҳмат Ty si Pánom, Ty si Kráľom THE GATE OF DEATH Rab'bin Güzelliğini Gör Oricât de frumos odată Пустота Океаны
Song not available - connect to internet to try again?