Nyimbo na tuziimbe tena Za alivyotupenda mbele; Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele. Twonane milele, Twonane bandarini kule; Twonane milele, Twonane bandarini kule. Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu ya Kondoo yule; Ataishi afurahiye Vya Yesu mbinguni milele. Hata sasa hufurahia Tamu yake mapenzi yale, Je, kwake tukifikilia, Kutofarakana milele? Twende mbele kwa jina lake, Hata aje mwokozi yule, Atatukaribisha kwake, Tutawale naye milele. Sauti zetu tuinue Kumsifu Mwokozi yule, Ili watu wote wajue Wokovu u kwake milele.హే ప్రభుయేసు - హే ప్రభు యేసు 耶稣背后的玛利亚 Duszo, nie lękaj się, lecz wierz แม่น้ำ Track 1 ạjʿlny kkẖạtm بيك ومعاك مزمور 150 Jésus te confie Где найти для сердца утешение?
Song not available - connect to internet to try again?