Wachunga walipolinda Kucha nyama zao, Malaika mtukufu Alishuka kwao. Wakacha sana wachunga, Akawatuliza, 'Nawaletea habari Ya kuwapendeza.' 'Mji ule wa Daudi Leo amezawa Mwokozi ni Kristo Bwana, Ilivyoandikwa.' 'Huyo mwana wa Mbinguni Ataonekana, Amelazwa kihorini Malazi hapana.' Alipokwisha yanena Malaika hao Waliimba wimbo huu Usio na mwisho: 'Enzi ni yake Mungu juu, Na nchi salama, Kwa watu nao radhi kuu, Sasa na daima'.Godzien chwały قولىمدى جايامىن باسىمدى ٴيىپ Чудная страна พลังสัมพันธ์ภาคกลาง О Молитва المحبة تتأنى Rallegrati perché Jen Ježíši Into My Heart, Into My Heart N-aceasta zi frumoasa
Song not available - connect to internet to try again?