Wamwendea Yesu kwa kusafiwa, Na kuoshwa kwa damu ya kondoo? Je neema yake umemwagiwa, Tumeoshwa kwa damu ya kondoo? Kuoshwa, kwa damu, Itutakasayo ya kondoo; Ziwe safi nguo nyeupe mno; Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Wamwandama daima mkombozi Na kuoshwa na damu ya kondoo? Yako kwa msulubiwa makazi, Umeoshwa kwa damu ya kondoo? Atakapokuja Bwana -arusi Uwe safi kwa damu ya kondoo! Yafae kwenda mbinguni mavazi Yafuliwe kwa damu ya kondoo. Yatupwe yaliyo na takataka, Na uoshwe kwa damu ya kondoo. Huoni kijito chatiririka Na uoshwe kwa damu ya kondoo?Ucap Syukur Pada Tuhan Я пройду с тобой Журегимде - Сен! Kutsal Rab, Seni Överim Lurianne O Mammy Ty nás proveď دربي وعرة Ánmen madaqtaımyn За то, что я живу Jesus The Very Thought Of Thee
Song not available - connect to internet to try again?