Yesu kwa imani, Nakutumaini, Peke yako; Nisikie sasa, Na kunitakasa, Ni wako kabisa Tangu leo. Nipe nguvu pia Za kusaidia Moyo wangu; Ulikufa wewe, Wokovu nipewe Nakupenda wewe, Bwana wangu. Hapa nazunguka Katika mashaka, Na matata; Palipo na giza Utaniongoza Hivi nitaweza Kufuata. Takuwa mzima Nivushe salama Mautini; Sina hofu kamwe Ukiwapo name Nami nikwandame Siku zote.Первая Любовь Господи дай мне верности Kwa Kalvari ربي وإلهي Ʋno fehna kʋt Chisʋs a قراءة 1 Өлү идим дүнјада, һəјат вердин Сəн мəнə Բարուխ Ադոնայ ḥlw wṭyb wḥnyn معي أنت يا حبيبي
Song not available - connect to internet to try again?