Yesu kwetu ni rafiki, Hwamiwa haja pia; Tukiomba kwa Babaye Maombi asikia; Lakini twajikosesha, Twajitweka vibaya; Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia. Haifai kufa moyo, Dua atasikia Hakuna mwingine mwema Wa kutuhurumia; Atujua tu dhaifu; Maombi asikia. Je, hunayo hata nguvu, Huwezi kuendelea, Ujapodharauliwa Ujaporushwa pia, Watu wange kudharau, Wapendao dunia, Hukwambata mikononi, Dua atasikia.تأمل 1 lsh ạlạml mwjwd يابني حبيبى Tu mă cercetezi de-aproape Sydäntäni ei voi innoittaa lạ tkẖf Un passo in più Билийорум Ҝөјлəрин Ордусујла ҝəлəрсəн Նայիր Ինչ Տերը Գործեց
Song not available - connect to internet to try again?