Yesu zama Bethilehemu, Aliyezaliwa kwa aibu, Ndiye mwokozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. Akaja kwa mimi; akaja kwa mimi; Ndiye mwokozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. Yesu akafa msalabani, Kuniponya akalipa deni, Ni la ajabu ya jinsi gani Kunifia mimi! Kunifia mimi! Kunifia mimi! Ni la ajabu ya jinsi gani Kunifia mimi. Ni yeye huyo tangu asili; Na nilipotanga-tanga mbali Alikuja kwa upole, kweli Kuniita mimi. Kuniita mimi; Kuniita mimi; Alikuja kwa upole, kweli Kuniita mimi Yesu kristo atarudi tena, Hilo lanifurahisha sana. Yeye Bwana akionekana Kunijia mimi. Kunijia mimi, kunijia mimi, Yeye Bwana akionekana Kunijia mimiСолнце встало Для тех кто уходит tsbyḥ llrb - ạlrb rạyty Wielbię Cię ḥllt qydy Les cieux et la terre Сени тааныбай, Сенин Don Boscóval együtt اسألوا الأجيال Кутсал Кутсал
Song not available - connect to internet to try again?