Yote namtolea Yesu Nampa moyo wote, Nitampenda siku zote, Namwandama kila saa. Yote kwa Yesu, Yote kwa Yesu, Yote kwako, Ee mwokozi, Natoa sasa. Yote namtolea Yesu, Nainamia pake; Nimeacha na anasa, Kwako Yesu nipokee, Yote namtolea Yesu, Nifanye niwe wako; Nipe Roho yako, Bwana, Anilinde daima, Yote namtolea Yesu, Nami naona sasa; Furaha ya ukombozi, Nasifu jina lake,Krok za krokem Jsme Tvůj lid rby ạʿṭny nwr wjhk في وقت ضعفي Халелуя Заферине Přijde jednou čas Suenen dulces himnos حوار الملك وحجلة bạlạ̉ḥḍạn ạlạ̉bwyẗ qd ʿlmt
Song not available - connect to internet to try again?