Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe; Katika safari yangu, tatembea na wewe; Pamoja na wewe, pamoja na wewe, katika safari yangu, tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe, na yanikute mashaka, sawa sawa na wewe. Pamoja na wewe, pamoja na wewe, heri nikute mashaka sawasawa na wewe. Niongoze safarini, mbele unichukue, mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe. Pamoja na wewe, pamoja na wewe, mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe.Were You There? أنظـر للـي عملـتـه عشـانـك PAKHAT LE KHAT I DAW U sạ̉lt ʿlyk Расставаясь не будем печальны Nobody ever loved me like Jesus loves me Anan seni Ruhtan doğurdu Buyukdir Kto w tym burzliwym życiu Дерим Халелуя
Song not available - connect to internet to try again?